Joel Lwaga - Mifupani Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Mifupani
  • Album: Higher+Deeper (Live in Dar es Salaam)
  • Artist: Joel Lwaga
  • Released On: 01 Jul 2022
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Joel Lwaga Mifupani

Mifupani Lyrics

Unipae afya mifupani mwangu
Ninakwamini Ninakwamini
Nimekujua na nimekuona 
Ninakwamini Ninakwamini

Unipae afya mifupani mwangu
Ninakwamini Ninakuamini
Nimekujua na nimekuona 
Ninakwamini Ninakwamini

Tumaini langu 
Ni wewe tu, Ni wewe tu
Msaada wangu
Ni wewe tu, Ni wewe tu
Kimbilio langu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu.
Mungu wangu  
Ni wewe tu ni wewe tu

Unipae afya mifupani mwangu
Ninakwamini Ninakwamini
Nimekujua na nimekuona 
Ninakwamini Ninakwamini

Tumaini langu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu
Kimbilio langu ni wewe tu 
Mungu wangu ni wewe tu.

Japo machozi yanatiririka
Ila acha yatoke yasafishe macho
Ili nikwone wewe tu wewe tu
Wewe tu wewe tu
Nikwone wewe tu

Nikujue wewe zaidi
Kupitia haya zaidi uuh!
Nikujue wewe zaidi
Kupitia haya zaidi

(Wewe unipaye)
Unipaye afya mifupani mwangu
Ninakwamini Ninakwamini
Nimekujua na nimekuona 
Ninakwamini Ninakwamini
(Bwana nguvu zangu) Unipaye afya 
(Wewe ushindi wangu) Mifupani mwangu
Ninakwamini Ninakwamini
(Nimekujua wewe ni mwaminifu sana)
Nimekujua na nimekuona 
(Natukuza jina lako)
Ninakwamini Ninakwamini

Msaada wangu ni wewe tu
Kimbilio ni wewe tu
Tumaini langu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu 
Mfariji wangu ni wewe tu
Nitakuona wewe tu
Hata gizani nitakwona wewe tu

Wewe tu wewe tu wewe tu.

Nimekujua na nimekwona
Nimekwaminini Nimekwamini


Mifupani Video

Mifupani Song Meaning, Biblical Reference and Inspiration

#### What is the meaning of the song "Mifupani" by Joel Lwaga?

"Mifupani" is a Swahili gospel song by Tanzanian artist Joel Lwaga that emphasizes trust and faith in God, particularly in times of physical and spiritual need. The song reflects a deep yearning for God's healing, guidance, and providence, encapsulating the believer's journey of faith, where trials and challenges lead to a closer relationship with God. Through its lyrics, "Mifupani" conveys the message that in every circumstance, whether in pain or health, the only constant and reliable source of hope and strength is God.

#### Can you break down the lyrics of "Mifupani" and provide analysis?

The song starts with a plea for physical healing, "Unipae afya mifupani mwangu," which translates to "Grant me health in my body." This opening sets the tone for the entire song, highlighting the singer's reliance on God for physical wellbeing.

As the song progresses, the phrase "Ninakwamini Ninakwamini" meaning "I believe, I believe" is repeated, signifying unwavering faith in God's power to heal and provide. This repetition is both a declaration of faith and a form of self-assurance, reinforcing the singer’s trust in God despite the circumstances.

In the chorus, the singer refers to God as their hope, refuge, and help, illustrating a complete dependence on God for all needs and situations. This reflects a broader spiritual understanding that beyond physical health, every aspect of one’s life is anchored in God.

The lyrics also touch upon experiencing God through suffering, with the lines "Japo machozi yanatiririka" meaning "Even though tears flow." This acknowledges that faith does not exempt believers from hardship, but through these challenges, one's relationship with God is deepened.

#### What Bible verses does "Mifupani" relate to?

1. **Jeremiah 17:14** - "Heal me, O LORD, and I shall be healed; save me, and I shall be saved, for you are my praise." This verse directly resonates with the song’s opening plea for healing, emphasizing faith in God’s power to heal.

2. **2 Corinthians 12:9** - "But he said to me, 'My grace is sufficient for you, for my power is made perfect in weakness.'" The song’s theme of finding strength and hope in God despite physical and emotional pain echoes this verse, highlighting God's sufficiency in times of weakness.

3. **Psalm 46:1** - "God is our refuge and strength, an ever-present help in trouble." This verse underpins the chorus of the song, where God is referred to as the ultimate hope, refuge, and help, reinforcing the idea that God is always available and capable to support believers in every situation.

4. **Psalm 34:18** - "The LORD is close to the brokenhearted and saves those who are crushed in spirit." The section of the song that deals with tears and visibility through suffering aligns with this verse, which assures that God is near and saving those who are going through hard times.

"Mifupani" thus serves as a musical embodiment of these scriptures, offering listeners a melodious reminder of God’s ever-present help, healing power, and unwavering presence in the lives of believers, especially in times of need. Mifupani Lyrics -  Joel Lwaga

Joel Lwaga Songs

Related Songs