Umejawa Utukufu Lyrics - Essence of Worship

Essence of Worship Eliya Mwantondo swahili

Buy/Download Audio

Umejawa Utukufu Lyrics

Bwana Bwana, Yesu Yesu
Bwana Bwana, Yesu Yesu 
Bwana Bwana, Yesu Yesu

Bwana Bwana, Yesu Yesu
jina lipitalo majina yote Yesu
Alfa na Omega yeye ni Bwana
mwokozi wa ulimwengu Yesu
tunalisifu jina lake Bwana
kila goti linapigwa kwake
kila ulimi wakiri ni Bwana
nani mwengine kama wewe
hakuna mfano wako Bwana
tunaimba tunasifu kwa neema yako
kila mwanye pumzi asifu Bwana
wastahili heshima na utukufu






Umejawa Utukufu Video