Sifa Lyrics

Hakuna Gumu by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Hakuna Gumu Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir
Album:
Hakuna Gumu - EP
Official Release:
25 Mar 2026

Lyrics

Here are the Swahili lyrics to the song "Hakuna Gumu" by Neema Gospel Choir:


(Chorus)
Hakuna gumu kwa Yesu (There is nothing difficult for Jesus)
Hakuna gumu kwa Yesu (There is nothing difficult for Jesus)
Msalabani, alimaliza (On the cross, He finished it all)
Yote, hakuna gumu kwa Yesu (Everything, there is nothing difficult for Jesus)


(Verse 1)
Ile laana ilosababishwa na Adamu wa kwanza
Adamu wa pili alimaliza msalabani
Yale magonjwa yalosababishwa na Adamu wa kwanza
Yule wa pili aliyamaliza msalabani


(Verse 2)
Yale mashaka yalosababishwa na Adamu wa kwanza
Adamu wa pili aliyamaliza msalabani
Ile laana ya Adamu wa kwanza
Yesu mwenyewe aliyamaliza msalabani


(Verse 3)
Kama vile Musa alivyo inua nyoka wa shaba
Ndivyo Yesu ameinuliwa msalabani
Amwaminie asipotee awe na uzima
wa milele, uzima tele wa milele


(Bridge)
Mifupa mikavu inatua
Magonjwa yanapona
Kitabu cha maisha kinaandikwa
Kwako Yesu, hakuna gumu


(Ending)
Yesu tunakupenda
Yesu tunakushukuru
Baba tunakupenda
Yesu tunakushukuru


Video