MAGRETH JAMES - NIMEKUONA BWANA Lyrics

NIMEKUONA BWANA Lyrics

Nimekuona Bwana ukifanya hoo,nimekuona Bwana ukifungua
Nimekuona Bwana ukisamehea Dhambi,nimekuona Bwana ukitendatenda
Nimekuona Bwana ukibariki,Nimekuona Bwana ukisaidia
Nimekuona Bwana ukitenda tena na tena,Nimekuona Bwana ukiwisha Mioyo
Nimekuona Baba ukisaidia,Nimekuona Baba ukitenda tena
Nimekuona Yahwehe usiyebadilika,
Nimekuona Baba ukitenda tena 

Ukisaidia,Ukiponya Mioyo Kwa Gharama ya Dhambi nimekuona tena
Nimekuona Baba,Nimekuonya Yahwehe,Jemedari wangu mimi nimekuona

Yaahwee
Mwamba wenye Nguvu
Mtetezi wangu
Nimekuona tena 
Mwandani wangu
Rafiki wangu 
Bwana nimekuona
Usiyebadilika
Usiyepitwa na muda
Usiyeisha wakati
Bwana nimekuona
Nimekuona tena


NIMEKUONA BWANA Video

NIMEKUONA BWANA Lyrics -  MAGRETH JAMES

MAGRETH JAMES Songs

Related Songs