Martha Mwangi

Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana Lyrics

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana Video