Nafsi Yangu Yakungoja Bwana Lyrics - Martha Mwangi

Martha Mwangi swahili

Nafsi Yangu Yakungoja Bwana Lyrics

Nafsi yangu, yakungoja Bwana
Kuliko walinzi, wangojavyo asubuhi

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja

Wale wote, wamngojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja

Wamngojao Mungu wao
Watafanywa upya
Nguvu zao maishani
Wale wote

Ewe dada, ukimngoja Bwana
Utafanywa upya
Nguvu zako maishani

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja

Wale wote wangojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani

Wale wote wangojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja


Nafsi Yangu Yakungoja Bwana Video