Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza Lyrics

Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna, tena kanipa uhai bila kulipa
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii, kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni laini eeh Masiya, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Asante kwa uaminifu wako
Nilikuwa mtoto sasa mi ni mzee, sijaona siku moja umenitenga
Nisi wanilinda kama mboni lako, hesabu za nywele yangu waielewa

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Niyo maana ninaimba, Utukufu wako wa milele
Sasa Ebenezar, jibu langu, pumzi uhai wangu tegemeo langu
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Swahili Lyrics For Touched Lyrics


Share:

Write a review/comment of Wewe Ndiye Mungu Hubadiliki - Nimeliguza:

1 Comments/Reviews

 • Roselyne Nyakeriga

  Wacha mungu aitwe mungu Kila wakati. Nyimbo zako ni tamu za guza Moyo wangu sana. Mungu azidi kukutumika kwa kuhubiri kupitea nyimbo zako tamu. Barikiwa 2 months ago


 • Paul Mwai

  @paul-mwai

  Bio

  View all songs, albums & biography of Paul Mwai

  View Profile

  Bible Verses for Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

  No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music