Peace Muli - Ni wakati wa kuomba Lyrics
Lyrics
Ni wakati kanisa wa kuomba
Ni wakati kanisa wa kuomba
Dunia inapotikiswa
Ni wakati kanisa wa kuomba
Kanisa litasimama wakristo tukiomba
Ni wakati kanisa wa kuomba
Video
Ev. PEACE MULU - Ni Wakati Wa Kuomba (Official Video)