Ambwene Mwasongwe - Neno La Kalvari Lyrics

Album: Moyo Wa Ibada
Released: 01 May 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Nakuhitaji, Bwana wangu Mimi niko wazi unisikilize Kama utapita njia hii Uje unione, nikuonyeshe mahali panapouma

Moyo wangu, wanaona shauku Eee Yesu Bwana wangu unirehemu Mwili wangu unaumwa kweli nimechoka Hatwa waoaniuguza nao wamenichoka

Maisha yangu yamekuwa gharama Kweli nakuhitaji wewe tu Usiniache peke yangu nita aibika

Linga kwisa, gwendepo pamyangu Nguhelepo simo isya munda myangu Lelo linga kukinda ungikindaga kimyeye Ujobhe ilisyu limo na une angusangaluka

Tata umbumbulusyege, umbumbulusyege Usyele gwimwene gwe mmanyani gwani Linga nakupalaga imbalo Jesu gwe mmanyani gwangu Nakukolelaga ingamu jako Natigi Jo ugwe Mwajesu

Enaa enaa enaa enaa Usyele gwimwene gwe mmanyani gwangu Enaa enaa enaa enaa Usyele gwimwene gwe mmanyani gwangu

Maji yakimwagika yasizoleke tena Nitakufuata wewe, uwezaye yazoa Upepo ukinivumia na kuniacha sina kitu Nitakukimbilia wewe uwezaye kuushika kwa konzi

Roho ikifa ndani yangu Nikabaki na mwili wa mnyama Nitasubiri neema yako Kisha nitazaliwa upya Ninaibariki kazi ya msalaba Ninaibariki kazi ya msalaba

Neno la Kalvari, neno la Kalvari Limeleta ushindi, neno la Kalvari Ninalibariki, ninalibariki Jina lako libarikiwe

Video

NENO LA KALVARI( video) AMBWENE MWASONGWE

Thumbnail for Neno La Kalvari video
Loading...
In Queue
View Lyrics