Sifa Lyrics

Zaidi na Zaidi by Eunice Njeri cover art

Eunice Njeri - Zaidi na Zaidi Lyrics

Artist:
Eunice Njeri

Lyrics

Mungu wangu Mungu wa neno 


Mungu wangu Mungu wa agano  


Una kweli wewe ni ngao 


Hautafeli na usemalo ndilo 


Niongoze upendavyo 


Nitembee juu ya maji  


Nifinyange ni udongo 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Imani yangu roho wa Mungu 


Waniita nimesikia 


Nakusongea we wanisongea oh 


Ninakutafuta wewe wanitosha 


Niongoze nitembee juu ya maji  


Nifinyange ni udongo 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Nizamishe ndani yako 


Nipungue uongezeke 


Nizamishe ndani yako 


Nipungue nisionekane 


Niongoze upendavyo  


Nitembee juu ya maji  


Nifinyange ni udongo 


Nikujue zaidi na zaidi na zaidi 


Video