MAGRETH JAMES - UNIFUNDISHE Lyrics
Lyrics
Unifundishe Njia ya kuenda,bila wewe siwezi unifundishe
Unifundishe Njia ya kuenda,bila wewe siwezi unifundishe(Rudia)
Umenihaidi jambo hili, ya kwamba hutoniacha Yatima,utatembea nami Bwana ukinifundisha
Jicho lako likinitazama,Mkono wako ukinionyesha,Njia njema ya kufuata unanifundisha
Unifundishe Njia ya kuenda,bila wewe siwezi unifundishe
Kipawa mbele yangu ni wewe,mwenye kweli niwekaye Huru karibu ndani yangu Bwana unifundishe
Ondoa kila bando ndani yangu,Lisilokuletea utukufu
Tafadhali Bwana wangu mwema unifundishe
(Niko tayari na wewe)
bila wewe siwezi unifundishe
bila wewe siwezi unifundishe
Video
MAGRETH JAMES (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC VIDEO)