Amani G - Asante Lyrics

Lyrics

 

Kila kukikucha, macho yafunguka Msije sahau kurudisha shukrani Hewa napumua nauona mwangaza wa jua Nisije sahau wanyonge kufikiri

Nimepata baraka Nimepata fanaka Nisije sahau aliyenibariki

Nimepata faraja Kwenye mwamba niko salama Nisije sahau aliyenibariki

Nasema asante(ninasema)  Nasema asante(ninajua) Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa Ila ni kwa mapenzi yake Mola

oooh oooh oooh ooh oooh  oooh oooh oooh ooh oooh

Beatiful day,  Flowers in bloom, always in harmony(harmony) The pasture pour way, the melody change To sing a song a song for me

And I stopped  To thank you for my friends and family Without them beside me Where will I be

No I know  Sometimes giving up is easier I have done, I still fight Wanisaidia

And I know that I will  Make it through no matter And in you, fighting for me My enemies are scattered

Nasema asante(ninasema)  Nasema asante(ninajua) Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa Ila ni kwa mapenzi yake Mola

Nasema asante(asante)  Nasema asante(asante) Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa Ila ni kwa mapenzi yake Mola

oooh oooh oooh ooh oooh  oooh oooh oooh ooh oooh

Video

Amani G ft Pendo - Asante (Official Video)

Thumbnail for Asante video
Loading...
In Queue
View Lyrics