[VERSE 1]
Uko Na Macho Ya swagga kama njela
Kukuona Umeni murder mpaka jela
Si kawaida yangu kupanga tela
Ila hamna no sina namna (basi)
What’s your name
Wacha nionekane boya
Ukinimwaga nitabeba aibu
Usione ni papara sijalewa nimefikaje huku uuuh
Girl you look so fine (uuuhhh)
You got me crazy, damn so fine (Uuhhh )
Girl you look so fine
Uuh you got me crazy
[HOOK]
Ningependa tujuane ( Sio mbaya)
Uuuh (Sio mbaya)
Mimi na wewe (sio mbaya)
Uuuh (sio mbaya)
Ningependa tujuane (Sio mbaya)
Uuh (sio mbaya)
Mimi na wewe (sio mbaya)
Uuuuh you look so fine
[VERSE 2]
Usije kuniona mi muhuni
Kukwambia hisia zangu
Ukadhani anakurubuni eehhhee
Na vile hatujawwa majirani
Nikajichanganya
Ukadhania ni walewale wale
Uko so smart
Umedress poa so different (Sababu nakufuata)
Baby we can chat
Tukitoka hapa labda
Twende Zanzibar
Uko so smart
Umedress poa so different (Sababu nakufuata)
Baby we can chat
Tukitoka hapa labda
You got me crazy
[HOOK]
Ningependa tujuane ( Sio mbaya)
Uuuh (Sio mbaya)
Mimi na wewe (sio mbaya)
Uuuh (sio mbaya)
Ningependa tujuane (Sio mbaya)
Uuh (sio mbaya)
Mimi na wewe (sio mbaya)
Uuuuh you look so fine
I love you… I love you
I love you… I love you
I love you… I love you