Niketi Nawe Lyrics - Dr Ipyana

Dr Ipyana swahili

Chorus:
Niketi nawewe, niishi nawe
Nijazwe nawewe, furaha yako
Kwa uzuri wako nipe pendo lako

Niketi Nawe Video

Buy/Download Audio

Niketi Nawe Lyrics

Neno lako liwe taa ya miguu yangu 
Nyua zako shibe kwangu 
Sura yako ijaze nafsi yangu 
Nifunike na pendo lako ooh 

Neno lako liwe taa ya miguu yangu 
Nyua zako shibe kwangu 
Sura yako ijaze nafsi yangu 
Nifunike na pendo lako ooh 

Niketi nawewe, niishi nawe 
Nijazwe nawewe, furaha yako 
Kwa uzuri wako nipe pendo lako 
Eeh Bwana eeh Bwana 
Eeh Bwana eeh Bwana 

Nikae nyuani mwako 
Nyuani mwako Bwana 
Niishi uweponi mwako 
Uweponi mwako Bwana 

Eeh Bwana eeh Bwana 
Eeh Bwana eeh Bwana