Sifa Lyrics

BADO NAPAMBANA by Sifaeli Mwabuka cover art

Sifaeli Mwabuka - BADO NAPAMBANA Lyrics

Artist:
Sifaeli Mwabuka
Album:
BADO NAPAMBANA - Single
Official Release:
07 Sep 2025

Lyrics

[Intro]
(Baba, Baba yangu, nitie nguvu)
(Mimi mwanao, Mungu wangu, nitie nguvu)

[Chorus]
Baba, Baba yangu, nitie nguvu
Mimi mwanao, Mungu wangu, nitie nguvu
Baba, Baba yangu, nitie nguvu
Mimi mwanao, Mungu wangu, nitie nguvu
Eh Baba

[Verse 1]
Katika safari zangu Baba, ambazo usiniache
Nipito na changamoto zangu, Baba nitie nguvu
Ninaomba neema yako Baba, tembe na mimi
Katika safari zangu Baba, ambazo usiniache
Nipito na changamoto zangu, Baba nitie nguvu
Ninaomba neema yako Baba, tembe na mimi
Eh Baba

[Chorus]
Bado napambana, Mungu wangu nitie nguvu
Umesema usiyefanya kazi, Baba asile
Bado napambana, Mungu wangu nitie nguvu
Umesema usiyefanya kazi, Baba asile

[Verse 2]
Kwenye ile kazi yangu Baba, bado napambana
Na ile biashara yangu Baba, bado napambana
Kwenye ile kazi yangu Baba, bado napambana
Na ile biashara yangu Baba, bado napambana
Nisaidie Baba

[Bridge]
Bado napambana Baba
Bado napambana
Bado napambana Baba
Bado napambana
Tuvunjike moyo wao
Unisaidie, mwanao bado napambana
Bado napambana
Unisaidie, mwanao bado napambana
Bado napambana

[Verse 3]
Tumshukuru Mungu, kwa huruma zake
Tuseme asante Baba, siye na upendeleo
Tumshukuru Mungu, kwa huruma zake
Tuseme asante Baba, siye na upendeleo

[Verse 4]
Anajua hatujapata leo, twamini kesho atatupa
Wengine wao wamefanikiwa, lakini sisi bado
Anajua hatujapata leo, twamini kesho atatupa
Wengine wao wamefanikiwa, lakini sisi bado
Eh Baba

[Outro]
Sisi bado, tuzidi kupambana
Sisi bado, tuzidi kupambana
Anajua wakati wetu unakuja, nasi tutainuliwa
Anajua wakati wetu unakuja, tutabarikiwa

Video