Magena Main Youth Choir - Rafiki Huyu Lyrics

Rafiki Huyu Lyrics

Nimetembea ulimwengu kote 
Sijampata rafiki kama Yesu. 
Yeye aliacha enzi yake mbinguni, 
Akajishusha duniani. 

Nimetembea ulimwengu kote 
Sijampata rafiki kama Yesu. 
Yeye aliacha enzi yake mbinguni, 
Akajishusha duniani.

Rafiki huyu ametenda mambo makuu 
Rafiki huyu alishinda ibilisi 
Rafiki huyu alishinda na mauti 
Rafiki huyu ametuandalia makao 

Hivyo inatupasa sisi wakristo 
Tujikane nafsi zetu 
Ili ajapo mara pili 
Tupae na yeye juu  

Swali ni kwako ewe mpendwa 
Ujiulize moyoni mwako 
Utakuwa upande gani? 

Onyo la mwisho ewe mpendwa 
Umkubali mwokozi Yesu 
Ili ajapo twende paradiso 
Tusipotee jehanamu 

Rafiki huyu ametenda mambo makuu 
Rafiki huyu alishinda ibilisi 
Rafiki huyu alishinda na mauti 
Rafiki huyu ametuandalia makao 

Rafiki huyu ametenda mambo makuu 
Rafiki huyu alishinda ibilisi 
Rafiki huyu alishinda na mauti 
Rafiki huyu ametuandalia makao 

Hivyo inatupasa sisi wakristo 
Tujikane nafsi zetu 
Ili ajapo mara pili 
Tupae na yeye juu  


Rafiki Huyu Video

Rafiki Huyu Lyrics -  Magena Main Youth Choir

Magena Main Youth Choir Songs

Related Songs