Sifa Lyrics

Muda Mwingi Nilipotea - Kwa Kalvari by Paul Sifa cover art

Paul Sifa - Muda Mwingi Nilipotea - Kwa Kalvari Lyrics

Artist:
Paul Sifa

Lyrics

Muda mwingi nilipotea,


Sikufahamu msalaba,


Wala aliyenifilia,


Kwa Kalvari.


Rehema bure na neema,


Samaha nalo nilipewa,


Ndipo aliponifungua


Kwa Kalvari.


Kwa neno lake Bwana Mungu,


Nilijiona mimi mwovu,


Nikageuka na kutubu,


Kwa Kalvari.


Rehema bure na neema,


Samaha nalo nilipewa,


Ndipo aliponifungua


Kwa Kalvari.


Yote kwa Yesu namtolea,


Ndiye mfalme wa pekee sasa,


Kwa furaha nitamwimbia,


Wa Kalvari.


Rehema bure na neema,


Samaha nalo nilipewa,


Ndipo aliponifungua


Kwa Kalvari.


Jinsi pendo lilivyo kuu,


Neema ilishuswa toka juu,


Alitufanyia wokovu


Kwa Kalvari.


Rehema bure na neema,


Samaha nalo nilipewa,


Ndipo aliponifungua


Kwa Kalvari.


Video