Neema Yako

Neema Yako Lyrics

Mambo mimi nimeyaona na macho haya yangu
Mambo mimi nimesikia na masikio haya yangu
Mambo mimi nimeambiwa na rafiki zangu
Mambo mimi nimehisi moyoni mwangu .

Yangenifanya mimi kupotea
Yangenifanya mimi kushushika
Yangenifanya mi nirudi nyuma na kusahau agano Lako .

[Chorus]
Ni Neema Yako
(Bado nasimama)
Ni Neema Yako
(Bado mi naimba)
Ni Neema Yako
(aaaah)
Ni Neema Yako
(Jehovah Adonai)
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako .

Sio masomo yangu
Sio bidii yangu
Sio hekima yangu
Sio ujuzi wangu
Sio vile mimi ninatoa sana kuliko wote
Sio vile mimi ninaishi vyema kuliko wote
Mambo hayo wanayopitia
Pia mimi ninapitia .

Yangenifanya mimi kupotea
Yangenifanya mimi kushushika
Yangenifanya mi nirudi nyuma na kusahau agano Lako .

[Chorus]
Ni Neema Yako
(Bado nasimama)
Ni Neema Yako
(Bado mi naimba)
Ni Neema Yako
(aaaah)
Ni Neema Yako
(Jehovah Adonai)
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako .

[Bridge]
Nishike mkono
Majaribu ya duniani yasiniangushe
Oh Baba nishike mkono
Majaribu yasiniangushe .

Yasinifanye mimi kupotea
Yasinifanye mimi kushushika
Yasinifanye mi nirudi nyuma na kusahau agano Lako
(Repeat 2x) .

[Chorus]
Ni Neema Yako
(Bado nasimama)
Ni Neema Yako
(Bado nasoma Neno)
Ni Neema Yako
(aaaah)
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
(Oh neema Yako)
Ni Neema Yako
(Sio nguvu zangu)
Ni Neema Yako
Ni Neema Yako
(Oh Jehovah Shalom)


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Neema Yako:

0 Comments/Reviews