Akitawala Lyrics - Tafes Aru
Tafes Aru swahili
Buy/Download AudioAkitawala Lyrics
Akitawala akitawala
Akitawala akitawala
Mambo ni sawa
Akitawala akitawala
Akitawala akitawala
Mambo ni sawa
Mambo ni sawa
Mambo ni sawa
Mambo ni sawa
Neema yake yanitosha (yanitosha tosha)
Neema yake yanitosha (yanitosha tosha)
Upendo wake wanitosha (wanitosha wanitosha)
Upendo wake wanitosha (wanitosha wanitosha)
Mfalme mfalme, umeinuliwa juu
Mfalme mfalme, unatawala