Simuachi Yesu Lyrics - Tafes Aru

Tafes Aru swahili

Simuachi Yesu Lyrics

Aiye simuachi Yesu 
Aiye simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 

Aiye simuachi Yesu 
Aiye simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 

Kitu gani kinitenge na upendo wa Mungu (Hakuna) 
Kitu gani kinitenge na upendo wa Baba (Hakuna)
Kitu gani kinitenge na upendo wa Yesu (Hakuna)
Iwe ni mali (Hakuna) 
Je wazazi (Hakuna)
Pesa kidogo (hakuna) mali kidogo (hakuna) 
Niwe ni chini (hakuna) Je masomo (hakuna) 
Nan'gang'ana 

Aiye simuachi Yesu 
Aiye simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 
Hata iweje simuachi Yesu 

Pamoja na Yesu (Pamoja na Yesu)
Pamoja na Yesu
Pamoja na Yesu

Iyeeee 
Yeye ni mfalme Bwana Yesu eeh 
Yeye ni mfalme Bwana Yesu eeh
Anatawala kote, kote kote
Yesu (Yesu, Yesu, Yesu)
Anatawala kote Bwana (Yesu, Yesu, Yesu)

Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 
(Hakuna Mungu kama wewe)
Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 
(Hakuna Mungu kama wewe)

Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama wewe 
Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama wewe

Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 
(Hakuna Mungu kama wewe)
Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 
(Hakuna Mungu kama wewe)

Luwe luwe luwe (Luwe)
Luwe Yesu (luwe)
Simuachi Yesu Video