Najua Bwana Anatengeneza Njia Lyrics - Youths For Christ

Youths For Christ swahili

Najua Bwana Anatengeneza Njia Lyrics

Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu
Najua Baba antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu

Najua Bwana
Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu
Ninajua
Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu

Ukiponya Bwana unatengeneza njia
Unatengeneza njia kwa ajili yangu
Ukifungua Baba unatengeneza njia
Unatengeneza njia kwa ajili yangu

Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu
Njia ya wokovu
Njia ya imani
Najua sasa
Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu

Ninayoshuhudia hayo hata ni mapito
Unatengeza imani yangu kwako
Na miujuza nayo ni maandalizi
Unatenda Imani yangu kwako

Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu

Uzima tele ndio njia tarajiwa
Unatengeneza njia kwa ajili
* Ukiinua imani yangu kwako

Najua Bwana antengeneza njia
Anatengeneza njia kwa ajili yangu