Baba Yetu wa Mbinguni
Yanipasa nishukuru
Isingelikuwa ni wewe
Singelipata wokovu
Mungu wetu wa mbinguni
Yanipata nishukuru
Usingemtuma mwanao
Nisingelipata wovu
Asante Bwana
Isingelikuwa ni wewe
Nisingelipata wokovu
Isingekuwa Yahweh
Isingelikuwa ni wewe
Nisingelipata wokovu
Baba Yetu wa Mbinguni
Yanipasa nishukuru
Isingelikuwa ni wewe
Singelipata wokovu
Write a review/comment/correct the lyrics of Isingelikuwa Ni Wewe:
If it had not been Jehovah who was on our side, When men rose up against us;