Sifa Lyrics

Damu Yako Inaweza Yote by Youths For Christ cover art

Youths For Christ - Damu Yako Inaweza Yote Lyrics

Artist:
Youths For Christ

Lyrics

Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote


Damu yako simba wa Yudah
Damu yako yesu inaweza yote


Damu yako yaponya ukoma
Damu yako baba inaweza yote


Damu yako Yahweh inaweza yote
Damu yako yatembeza viwete
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote


Damu yako simba wa yudah
Damu yako yesu
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote


Tunakuinua mwana wa Mungu
Damu yako yesu
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote


Tunashangilia Simba wa Yudah
Damu yako Yesu Inaweza yote