Sifa Lyrics

Umenifanya Ibada by Glorious Worship Team cover art

Glorious Worship Team - Umenifanya Ibada Lyrics

Artist:
Glorious Worship Team

Lyrics

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu


Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu


Umenificha sirini,mwako bwana
Nikujue zaidi ya fahamu zangu


Mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamlaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu*2


Umenifanya Ibada,
nikwabudu umenipa kutumika,
chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yako*2


Nasema ndio Ndio4
Ndio Bwana,bwana ndio bwana,bwana
4


Video