Sifa Lyrics

Yesu Wangu Umeniponya Roho Yangu by Youths For Christ cover art

Youths For Christ - Yesu Wangu Umeniponya Roho Yangu Lyrics

Artist:
Youths For Christ

Lyrics

Nainua macho yangu

Nitazame milimani

Msaada wangu watoka wapi

Bali ni watoka kwako yesu

Yesu wangu umeniponya roho yangu

Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru

Nainua macho yangu

Nitazame marafiki

Usaidizi wangu watoka wapi

Bali ni watoka kwako yesu

Yesu wangu umeniponya roho yangu

Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru

Nainua macho yangu

Nitazame familia yangu

Uponyaji wangu watoka wapi

Bali ni watoka kwako yesu

Yesu wangu umeniponya roho yangu

Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru

Nainua macho yangu

Nitazame ninaowajua

Amani yangu yatoka wapi

Bali ni watoka kwako yesu

Yesu wangu umeniponya roho yangu

Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru

Yesu wangu umeondoa aibu yangu

Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru

...

Video