Sifa Lyrics

Mtindo by David Wonder cover art

David Wonder - Mtindo Lyrics

Artist:
David Wonder

Lyrics

Shetani anainama anainuka
Anaona moto mwenyewe anatoroka
Shetani anainama anainuka
Anaona moto mwenyewe anatoroka

Huyu Yesu amekuwa daddy

Amekuwa nami ni mchungaji wa me
Hata kuende aje siwezi worry ni mchungaji wa me.


Mbona mnang'angana na mambo ya jana jana
Tumwachie Bwana Bwana kile mi nataka mjue


Kuokoka ndo mtindo uoh
Kuokoka ndio mtindo uoh
Kuokoka ndio mtindo uoh
Tunakubali na mastingo uoh


Na safari ni ndefu sijakata
Lakini bado huyu Yesu sisi tuta
Ni bora uamini tuamini vile inafaa
Mimi nishakupa siri usipoteze masaa


Mbona mnang'angana na mambo ya jana jana
Tumwachie Bwana Bwana kile mi nataka mjue


Kuokoka ndo mtindo uoh
Kuokoka ndio mtindo uoh
Kuokoka ndio mtindo uoh
Tunakubali na mastingo uoh


Sheteni anainama anainuka
Anaona moto anatoroka


Usikubali dunia iwe mahali utaishia
Usi usikubali dunia usikubali dunia


Video