Sifa Lyrics

Pande by David Wonder cover art

David Wonder - Pande Lyrics

Artist:
David Wonder

Lyrics

Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


(Alexis on the Beat)


Nimeng'ang'ana na wokovu wangu
Nikianguka nainuka nasonga (Songa sana)
Nimepambana ingawa moyo wangu
Unaamini saa zingine wakana


Na nikikuita waitika (Aah)
Hujawai jificha (Aah)
Hata nikichoma picha (Aah)
We mwaminifu


Na nikikuita waitika (Aah)
Hujawai jificha (Aah)
Hata nikichoma picha (Aah)


Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


Niulize, nikwambie
Kuna utamu kwa Yesu
Kuna furaha kwa Yesu


Niulize, niulize nikwambie
Kuna uhuru kwa Yesu
Kuna furaha kwa Yesu


Nilidhani ninakuja fungiwa
Kumbe ni baraka napata napata
Aii mi nazidiwa 


Nilidhani ninakuja fungiwa
Kumbe ni baraka napata napata
Aii mi nazidiwa


Na nikikuita waitika (Aah)
Hujawai jificha (Aah)
Hata nikichoma picha (Aah)
We mwaminifu


Na nikikuita waitika (Aah)
Hujawai jificha (Aah)
Hata nikichoma picha (Aah)
We mwaminifu


Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii pande
Nitabaki hii nionane na Yesu


Upande wako ndo napatikana
Hakuna uchungu na laana 
Upande wako ndo napatikana


(Kwa Yesu sihami)


Video