Sifa Lyrics

Kosa by David Wonder cover art

David Wonder - Kosa Lyrics

Artist:
David Wonder

Lyrics

Oooh aaah
(Alexis on the Beat)


Niko na damu kwa mkono na nyama kwa mdomo
Nitakulaje?
Na lawama za wana hazifiki kikomo
Nitashibaje?


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Ooh basi naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Oooh Baba naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Oooh niko sure polisi wananitafuta
Oooh niko sure wanajua nimejificha
Ju after kuwapata na mke na jirani
Kwangu ndani chumbani nilitokwa akili yeah


Nilitafuta kitu ya kumtishia
Nilivyopatana na kisu sikujua
Oooh nilidhani kwa haraka atakimbia
Kifuani mwake nilivyofika sikujua


Nimemdunga jirani kisu (Aha)
Oooh jirani kisu (Aha)
Na ako chini hasemi kitu (Aha)
Ooh hasemi kitu


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Ooh basi naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Oooh Baba naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Niko na damu kwa mkono na nyama kwa mdomo
Nitakulaje?
Na lawama za wana hazifiki kikomo
Nitashibaje?


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Nasema Baba nimekosa ooh kosa
Kosea weee
Nisije fanya tu kakosa ooh kosa
Kukosana nawe


Ooh basi naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Oooh Baba naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe
Ooh Yesu wangu naomba
Nisamehe, nisamehe, nisamehe


Video