Sifa Lyrics

Rehema by David Wonder cover art

David Wonder - Rehema Lyrics

Artist:
David Wonder

Lyrics

Watesi wangu hawawezi kuelewa
Ninasema wewe ni Mungu wa baraka
Tena hujawai chelewa 
Ninapofika mwisho wewe huja haraka


Naomba unipe nguvu
Nikiona maovu mimi nikimbie
Unipe nguvu
Kila siku nyimbo mpya mi nikuimbie


Na wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga mapema (Pema)
Wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga 


Ooh Baba umejawa rehema 
Rehema (Rehema)
Umejawa rehema (Rehema)
No no no rehema (Rehema)


Oooh neema, nehema (Nehema)
Umejawa nehema (Nehema)
No no no nehema (Nehema)
Oooh...


Ni mara ngapi nimekosa
Na bado nikikuita hujawahi nichocha
Nanyenyekea nitumie
Watacheka mi nikirudi ocha


Ndio maana naomba omba, omba omba
Oooh nisiwahi kuchosha
Na ukisema nenda mi nitaenda
Aaah...


Wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga mapema (Pema)
Wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga 


Ooh Baba umejawa rehema 
Rehema (Rehema)
Umejawa rehema (Rehema)
No no no rehema (Rehema)


Oooh neema, nehema (Nehema)
Umejawa nehema (Nehema)
No no no nehema (Nehema)
Oooh...


Wasiwasi sina tena 
Iliishaga mapema 
Na asiwasi sina tena 
Ooh iliishaga 


Wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga mapema (Pema)
Wasiwasi sina tena (Tena)
Iliishaga 


Ooh Baba umejawa rehema 
Rehema (Rehema)
Umejawa rehema (Rehema)
No no no rehema (Rehema)


Oooh neema, nehema (Nehema)
Umejawa nehema (Nehema)
No no no nehema (Nehema)
Oooh...


Video