David Wonder - Washangaze Lyrics
Lyrics
Wah wah wah wah washangaze washangaze Wah wah wah wah Washangaze washangaze
Baba fanya my wonder wonder wonder Washangaze washangaze wonder wonder wonder Washangaze washangaze
Ona nimefika mwisho Nitaanzia wapi baba Ulisema sitaona kifo Kabla hujaonekana
Usiache me nianguke chini Niendapo baba enda na mimi Ulisema yangu ni kuamini We ni Mungu, niogope kwa nini?
Ooh baba basi tended, mshangao Oooh pahali friend nitaenda, mshangao Nasema baba basi tended, mshangao Oooh pahali friend nitaenda, aaah
Wah wah wah wah washangaze washangaze Wah wah wah wah Washangaze washangaze
Baba fanya my wonder wonder wonder Washangaze washangaze wonder wonder wonder Washangaze washangaze
Siwezi, siwezi kuzama ukicheki Ndio nimekazana sita bleki Kitu kidogo hii ni petty
Ooh sitakosa doh, sitakosa shilingi Utaleta mob, utaleta kwa wingi Wajue wewe ni God, baba siringi Wajue kwa imani, ndio me naishingi
Ooh baba basi tenda, mshangao Oooh pahali pote nitaenda, mshangao Nasema baba basi tenda, mshangao Oooh pahali pote nitaenda, aaah
Wah wah wah wah washangaze washangaze Wah wah wah wah Washangaze washangaze
Baba fanya ma wonder wonder wonder Washangaze washangaze Ma wonder wonder wonder Washangaze washangaze
Utafungua milango, washangae Wewe ni baba wa mipango, washangae Yaaani toka kitambo, washangae Oooh oooh
Kila kitu me nina shangaa eeh Ikupe utukufu, washangae oooh du, washangae ooooh ...
Wah wah wah wah washangaze washangaze Wah wah wah wah Washangaze washangaze
Baba fanya my wonder wonder wonder Washangaze washangaze wonder wonder wonder Washangaze washangaze
Wonder, wonder, wonder Baba fanya my wonder
Video
David Wonder - Washangaze (Official Music Video)