Paul Clement - Kiapo Lyrics
Lyrics
Higher higher high(Mpenzi) Higher higher high(Nakupenda) Higher higher high(Kwa moyo wangu) Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Kukupenda we si taabu Ila bado tuna majaribu Neno lako kuwa unanipenda Je litasimama? Halita tikisika
Kwako nina msimamo Sitasikiliza maneno Sitabadili mtazamo Kuwa nakupenda we kwa moyo
Nipende nikupende Tushikamane majaribu tuyashinde Tufike kule mbele Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nipende nikupende Tushikamane majaribu tuyashinde Tufike kule mbele Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Higher higher high(Mpenzi) Higher higher high(Nakupenda) Higher higher high(Kwa moyo wangu) Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Sijabahatisha kukutana nawe Nina uhakika kuwa ni wewe Ninajua maneno ni sumu Ila hata nikisikia hayatanidhuru
Wewe kwangu si barafu wa moyo Maana muda wowote utayeyuka Wewe kwangu ndiwe wangu moyo Ninakupenda wewe kwa moyo
Nipende nikupende Tushikamane majaribu tuyashinde Tufike kule mbele Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nipende nikupende Tushikamane majaribu tuyashinde Tufike kule mbele Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nakupenda(Nakupenda) Wewe mpenzi wangu(Nakupenda) Hey kwa moyo wangu(Nakupenda) Hey kwa moyo wangu(Nakupenda)
Hey kwa moyo wangu(Nitakupenda) Kwa moyo wangu(Nitakupenda) Kwa moyo wangu oooh ooh Wote kwa moyo wangu
Video
Paul Clement Ft Melisa John - Kiapo (Official Audio)