Willy Paul - Nishikilie Lyrics
Lyrics
Oooh nitaweka kifuani mwangu Oooh Pozee
Oooh beiby, nimekupenda kwa ndani Nikupeleke Mombasa kwa Joho Ukakule na raha mama
Michezo ya zigizigi Ya kiwiliwili mama Utapenda cherie oooh Nitapojikaza mmmh
Nikaribie nikweleze Navyohisi moyoni mwangu baby Baby ukinitouch, mi napigwa na butwaa
Tukigombana mi napatwa na huzuni Ukiniacha mie, nitaumia moyoni Njoo nikugawie, nikugurumishe Oooh beiby, nikugawie, nikugurumishe
Ooh Basi mie, nikumbatie nishikilie Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie Lala kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie Lala kifuani mwangu
Kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome Kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome
Basi unipe majigijigi nijigi jigi Twende wote mama Michezo ya zigizigi ya kiwiliwili Twende wote mama
Ah leo nipe majigijigi nijigi jigi Twende wote mama Michezo ya zigizigi ya kiwiliwili Twende wote mama
Basi mie, nikumbatie nishikilie Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie Lala kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Isiulizwe madoido lolo Ni mwendo ule ule eeh Na jinsi navyopenda ulivyo Ni mwendo ule ule eeh
Oooh my darling mwendo ni ule Yeah yeah yeah, umenikosha roho Ni mwendo oooh
Mambo bado, my hunny ooh My beiby my sweety potato My hunny ooh, my hunny eeh Ni mwendo oooh
Maah aah, maneno ni ile ile eeh
My sweetie ooh, nikumbatie nishikilie Lala kifuani mwangu,oooh ooh ooh Mwendo wa kinyonga, ooh ooh yeah
Ali ooh, Ali yoyo(yeah baba eeh) Alright, eeyoo Willy Pozee(Pozee) Dimpoz pozi pozi(Pause kwa mapozi)
Nikumbatie, unishikilie Kifuani mwangu
Video
Nishikilie by willy paul ft alikiba