Bahati - Dear Ex... Lyrics
Lyrics
Basi nifungue roho Kwa yule wa before Dear Ex...
Sitaki kurudia zamani Nilikupenda sana Ila haukuniona wa dhamani Haukuniona wa dhamani
Sitaki kubonga mob Nikurushie lawama Ila roho yangu unaijua Nilikupenda sana
Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh
Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh
Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani Haya mama anaulizia, anaulizia Majirani wanaulizia, yule wa zamani
You never took your time to know me, time to know me You never took your time to understand You never took your time to know me, time to know me The loving is all I had
Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea
Hata Jaguar anaulizia, anaulizia Messesi anaulizia, yule wa zamani Fleek Flavour anaulizia, anaulizia Hata Diana anaulizia, yule wa zamani
I wanna let you know, know know Wanna let you know Never let you go, go go Never let you go
I wanna let you know, know know Wanna let you know Never let you go, go go Never let you go
Chibu Dangote anaulizia, anaulizia Willy Paul anaulizia, yule wa zamani Kioko anaulizia, anaulizia Manager Wizz anaulizia, yule wa zamani
Teddy B anaulizia, Silvester anaulizia Kwenye Beat anaulizia, yule wa zamani Jalang'o anaulizia, Dj Moh anaulizia Na mafans wanaulizia, yule wa zamani
Vanny Boy anaulizia, Mpasho anaulizia Ni nani atawajibia? Mama Mueni anaulizia (Aha...Acha kutupima, hii nyimbo si ya dear Ex Hii wimbo ni ya Ex )
Video
BAHATI Feat. MEJJA - DEAR EX REMIX (Official Video) *812*810#
Meaning & Inspiration
not a christian song.