David Wonder - Haiwezani Lyrics

Contents:

Haiwezani Lyrics

Ulisema utakuja kutuokoa sisi wako watu
Ukasema, tutakusulubisha baada kukana mara tatu
Ulisema utakuja kutuokoa sisi wako watu
Ukasema, tutakusulubisha baada kukana mara tatu

Baada miujiza si kuona
Na vipofu wagonjwa wakapona
Viwete kuinuka na kusonga
Nyuma yako walipanga kukumurder

Baada miujiza si kuona
Na vipofu wagonjwa wakapona
Viwete kuinuka na kusonga
Nyuma yako walipanga kukumurder

Nguvu zako watake
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nguvu zako watamati
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nilidhani bossi wangu ana  nguvu sana
Nguvu za kufuta kazi na kuandikana
Nilidhani mheshimiwa ana nguvu sana
Nikimpa kiti leo mi si wa maana

Hakuna cha kulinganishwa
Na nguvu zako baba
Hakuna anaja kunitisha
Nikiwa na wewe baba

Eeh haiyee... yeiyee

Nguvu zako watake
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nguvu zako watamati
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nimejifunza kuamini nguvu zako
Hujawai angusha watu wako
Kimbilio pigania neno lako
Pigania neno lako

Uhai umenipa bure
Na pia chakula nikule
Sasa mbona mi nirudi kule

Nguvu zako watake
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nguvu zako watamati
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nguvu zako watake
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani

Nguvu zako watamati
Ooh haiwezani, haiwezani
Ooh haiwezani, haiwezani
 


David Wonder Songs

Related Songs