Sifa Lyrics

Backslide by Ringtone cover art

Ringtone - Backslide Lyrics

Artist:
Ringtone

Lyrics

Kubackslide haiwezekani, haiwezekani
Kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kweli haiwezekani


Nimetoka mbali, inaenda mbali
Shida nilizopitia ni kali 
Mungu wangu akakubali 
Eti nitoke chini nice juu 
Niache sukuma nile Kuku
Toka kwenye strong tea na kulal
Kuimba na kupendwa bila talanta 
Toka route 11 mpaka moti


Kubackslide  Haiwezekani
Aaaah aah haiwezekani
Kurudi nyuma kwangu aaaah aaah
Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kweli haiwezekani


Dhamani ya Mungu kwangu ni kubwa
Haiwezekani kurudi nyuma
Wakati nililia nilimuona aah
Wakati niliteswa nilimuona Mungu wangu
Haiwezekani kurudi nyuma


Nilikataliwa sasa nakubaliwa
Nilifukuzwa sasa nakaribishwa
Nimeheshimishwa na mwenyewe
Hata wengine wasipojua mimi najua
Wengine hawajua mimi ninajua
Haiwezekani kwangu


Kubackslide  Haiwezekani
Aaaah aah haiwezekani
Kurudi nyuma kwangu aaaah aaah
Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kweli haiwezekani


Utanipata church nikiwa ninasali
Utanipata church eeh
Mimi ni wa Yesu utanipata church
Mimi ni wa Mungu huwezi nipata club


Oooh ubaki kwa Mungu, ubaki kwa Mungu
Usitoke kwa Mungu, usiende mbali
Kila kitu we unapendwa na Mungu


Kubackslide, haiwezekani
Aaaah aah haiwezekani
Kurudi nyuma kwangu aaaah aaah
Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kweli haiwezekani


Kubackslide, haiwezekani
Aaaah aah haiwezekani
Kurudi nyuma kwangu aaaah aaah
Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani
Haiwezekani kweli haiwezekani


Video