Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Uongo nitolee, tamaa kataa (Kataa)
Umbea fagia, umaskini nakataa
Magari poa niletee, chakula niletee
Na nguo nzuri ikibisha nipate haraka
Tamaa mbaya ondoa na laana ondoa
Pang'ang'a fagia ufisi kataa
Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Eh bwana kama dhambi zangu ziko nyekundu kama scarlet
Ulisema bwana utrasafisha ziwe nyeupe kama theluji
Ibilisi ananitesa (Tesa)
Fanya nami nipate pesa (Pesa)
Mzigo wa dhambi wachokesha
Naomba bwana we fagia
Ibilisi ananitesa (Tesa)
Fanya nami nipate pesa (Pesa)
Mzigo wa dhambi wachokesha
Naomba bwana we fagia
Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia yote baba
Uchafu wote baba
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Fagia baba fagia, fagia aah fafia
Safisha baba safisha, safisha baba safisha
Fagia fagia, fagia fagia Mungu wangu wee
Maisha nakupa fagia fagia, Mungu wangu wee
Fagia fagia, fagia fagia Mungu wangu wee
Maisha nakupa fagia fagia, Mungu wangu wee