Willy Paul - Vigelegele Lyrics
Lyrics
Uhuhu willy willy willy msafi Noma moto ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma mhh teddy b Aa nana nanananana nananaaii nanananai Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali 2 Vigele5 Vigele5 Nakuonya we nyambura usijaribu nikaribia Mapenzi yangu ni ya mwenyezi
Ata na wewe anyango Nimeshaonyeshwa nia yako Wataka kuniweka chini Futi kumi na mbili Nimekosa nini2 Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma Yani kali msela kali Ngoma noma noma sana lego Aa nanananai nananai Nanananai nanananai Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali2 Vigelege5 Vigelege5 Mi awilly a awilly Nimekosa nini a awilly Simuniwachane a awilly Nimusifu Mungu a awilly Ye ndiye baba a awilly Ziingmwanisema mimi i Nimekosa nini i Mwataka kuniweka chini i Futi kumi na mbili i Nimekosa nini i Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma noma sana leego Nana nananai nananai Nanananai nananai Wacha nisifu baba Nimwabudu nani jalali2 Vigelege5 Vigelege5 Mhhhh kwa masela wote wanapendamola Nipe mikono juu tumsifu mola Tusifu sana mhhh Noma ngoma noma Yaani moto ya zambe Noma ngoma noma Yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha aha
Video
Willy Paul - Vigelegele (Official Video) (@willypaulbongo)