Utukumbuke - Uwakumbuke Lyrics - Angel Benard
Angel Benard swahili
Utukumbuke - Uwakumbuke Lyrics
Bwana Yesu Nataka niseme na wewe
Usifiwe moyo baba, usife moyo mama
Nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni
Nakuona baba unashinda umelewa, uheshimiwi nyumbani
Nakuona kijana umetafuta umechoka
Pia tena na leo mwokozi yuona yale wanapitia
Baba ona uwakumbuke
Uwakumbuke, wagonjwa hao (uwakumbuke)
Yatima Baba (uwakumbuke) Baba aah
Wandandoa wale (utukumbuke)
Kina mama wale (utukumbuke)
Ona Baba wale (utukumbuke) Baba aah
Ooh wakumbuke eeh
Mkono wako si mfupi, usiokoe
Na sikio lako si fupi lisisikie
Mkono wako si mfupi, usiokoe
Na sikio lako si fupi lisisikie
Wewe mwanzo tena mwisho eeh
Kwako hakunalo gumu
Tujapokua dhaifu, Bwana aah
Wewe ndiwe nguvu zetu
Uwakumbukee eeh
Kanisa lako, uwakumbuke
Taifa letu, uwakumbuke Baba
Baba tunakutazame, utukumbuke
Ona watoto wale, utukumbuke
Barabarani, utukumbuke Baba aah
"Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya kila
mwenye maswali moyoni "
Unaweza Yesu eeh Uuuuh (uwakumbuke)
Uwakukumbuke watoto wale
Ona Baba wajane wale (uwakumbuke)
Wawe ndiwe mume wao (utukumbuke )
Utukumbuke Baba, utukumbuke
Taifa letu na nchi Yetu utukumbuke Baba aah
Serekali na viongozi utukumbuke Baba aah