Sifa Lyrics

Siteketei, Siangamii by Angel Benard cover art

Angel Benard - Siteketei, Siangamii Lyrics

Artist:
Angel Benard
Album:
Siteketei - Single
Official Release:
05 Nov 2018

Lyrics

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira
Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana
nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri
katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia
hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei
katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Kwako bwana nasimama
Ndiwe mwamba ni salama
Kwako bwana nasimama eh eh
For they that believe in you we shall stand firm forever
Forever

Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami
Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami

Video