Sifa Lyrics

Lala Amka by Bahati cover art

Bahati - Lala Amka Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

niwe kutoka monday ,tuesday
nisikusahau maulana
ikifika friday sunday kanisani niwe ibada
niwe kutoka monday ,tuesday
nisikusahau maulana
ikifika friday sunday kanisani niwe ibada

basi cheza de,
dance de
ukiweza de kama daude
cheza de,
dance de
ukiweza de ata kide kide
tunalala amka
lala amka yesu anapepea
tunalala amka
lala amka zidi kutuombea

maisha yasizidi kusahau mungu baba
uceleb burundani ni kushau yesu baba
nisiwe  kama mwana mpotevu
nifanye mwaminifu ka joseph
nisiwe  kama mwana mpotevu
niepushe majaribu ka ayubu

Video