Sifa Lyrics

Shangilia by Essence of Worship cover art

Essence of Worship - Shangilia Lyrics

Artist:
Essence of Worship
Album:
Shangilia (Live) - EP
Official Release:
01 Mar 2025

Lyrics

Anastahili sifa za mioyo yetu
Hallelujah, hallelujah
Vigelegele kwa Yesu


Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana


Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka


Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana


Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka


Eeh bwana, jina lako la milele
Mungu nguvu la vizazi hata vizazi
Eeh bwana, jina lako la milele
Kumbukumbu la vizazi hata vizazi


Mataifa yote msifu bwana
Enyi watu wote mhimidini
Mataifa yote msifu bwana
Enyi watu wote mhimidini


Zaburi ya mia hamsini
Msifuni kwa mfumo baragumu
Msifuni kwa kinanda na kinumbi
Msifuni kwa matari na kucheza
Kila mwenye pumzi na msifu bwana


Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka


Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana


Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana


Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka


Video