I Live for You Lord

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

You uuh you uuh you Lord
You uuh you uuh you Lord
You uuh you uuh you Lord
You uuh you uuh you Lord

There are times in my life, huwa nimejazwa na uwoga mwingi
I don't know where to start, sina fahamu wapi nianzie
Then I am thinking to myself, ni nani atakaye nituliza
Wewe ni mwanzo tena we mwisho
Wewe ndiye ngao yangu ya maisha

I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord

There are days in my life ,Huwa ninajipata nimeteleza
And guilt inside me, Inanifanya nianguke
Then I look into your word, Unavyonipenda mimi
We ni Ngai, wee munene, Nishikilie leo na milele

I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord

Nami so wacha nikushow bro
Everywhere He goes watu wanagrow strong, so strong
God created you to His specification
His Grace is sufficient for this generation
Ombi langu baba nikuwa katika kila ibada
Nikuabudu, nikushukuru baba
Nikupe sifa, nikuombe wadhifa
Nikupe sifa, nikuombe maarifa

I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you Lord
I live for You uu you uuh you LordShare:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Adawnage Band

@adawnage-band

Bio

View all songs, albums & biography of Adawnage Band

View Profile

Bible Verses for I Live for You Lord

Psalms 63 : 4

Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.

Psalms 146 : 2

Nitamsifu Bwana muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.

Acts 17 : 28

Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.

Romans 14 : 8

Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.

Philippians 1 : 21

Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links