Mmmm yee hey hey hey oooh
Story yangu,
Niskize Mtoto mama, hivi unavyo niona ah
Mimi Denno, nimetoka na mbali sana
Hey hey, na
Tange me nikazaliwa, hata mwangaza,
Sikuwai kuja kuona, ey hey yeeh
Tange me nikazaliwa, hata mwangaza,
Sikuwai kuja kuona,
Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia
Najua uchungu, maswali mengi kwako moyoni
Kwanini Molla iwe hivi, kwanini Mola iwe mimi
Najua uchungu,na mimi haunioni, niko na rasta lakini mbona
Nimefungika wapewa story, at nine
Mama alipoondoka, skiza nikupe story, kumbuka ghetto ni ngori
At nine, baba akanitoka, sana ikiwa machozi,
Mchanga na sijiwezi,
Maisha kung’ang’ana nkaona siwezi,
Ndoto zangu nkatupa mbali, ila leo niko mahali
Maisha kung’ang’ana nkaona siwezi,
Kumbe Mungu aliona mbali, hivi mingi amenipa mimi
Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia
Mungu ni mwema story imebadilika,
Leo hii, tunaimba wanabarikiwa
Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia))