Sifa Lyrics

Nitamsifu by Mercy Masika cover art

Mercy Masika - Nitamsifu Lyrics

Artist:
Mercy Masika

Lyrics

Nitamsifu Bwana wakati wote, majira yote 
Nitaimba fadhili zake, mchana na usiku
Sifa zake zi kinywani mwangu daima
Hekaluni mwake nitasujudu daima


Nitamsifu Bwana wakati wote, majira yote 
Nitaimba fadhili zake, mchana na usiku
Sifa zake zi kinywani mwangu daima
Hekaluni mwake nitasujudu daima


Maana kusifu, kunawapaswa
Wanyoofu wa moyo
Mimi na nyumba yangu 
Tutamsifu Bwana siku zote (Be the real)


Leo nimeamua
Mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia Bwana


Nataka mtaani wajue
Taifa langu wajue
Tutamtumikia Bwana


Marafiki nao wajue
Majirani nao wajue
Tutamtumikia Bwana


Sitarudi nyuma
Wala sitatazama yaliyopita
Hata shetani akinikumbusha
Nitamuonyesha ukurasa mpya


Nitasonga mbele na Yesu
Wala sitaacha familia nyuma
Nitasonga mbele na Yesu
Yesu


Nitatangaza sifa zake
Mbele ya mataifa yote
Sifa zake na zijulikane
Kwa wote eeh


Leo nimeamua
Mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia Bwana


Nataka mtaani wajue
Taifa langu wajue
Tutamtumikia Bwana


Marafiki nao wajue
Majirani nao wajue
Tutamtumikia Bwana


Leo nimeamua
Mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia Bwana


Nataka mtaani wajue
Taifa langu wajue
Tutamtumikia Bwana


Marafiki nao wajue
Majirani nao wajue
Tutamtumikia Bwana


Video