Sifa Lyrics

Mungu Anakumbuka by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Mungu Anakumbuka Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Mungu anakumbu, kumbuka
Tena atatimi, timiza
(Alexis on the Beat)
Mungu anakumbu, kumbuka

Licha ya kuomba, ona mambo bado hayajabadilika
Umefunga umeomba, ona mambo bado yazidi kwama
Licha ya kuomba, ona mambo bado hayajabadilika
Umefunga umeomba, ona mambo bado yazidi kwama

Kazi alioianza ndani yako wewe ataimalizia
Amekuleta umbali huu ye ni mwaminifu hawezi kuachilia

Mungu anakumbu, kumbuka
Tena atatimi, timiza
Ahadi zake kwako wewe 
Mungu anakumbu, kumbuka
Tena atatimi, timiza
Ahadi zake kwako wewe 

Trust God is there 
Anafanya kazi from the background this day
Atabadilisha situation someday
One day is gonna be a better day Amen

Video