Sifa Lyrics

Wacha Waone by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Wacha Waone Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome


Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome


Wacha Waone
Wacha Waone
Wacha Waone
Vile wewe ni ngome


Niko hapa kukuwakilisha Yesu wangu
Nataka waone  Vile ulivyo ngome Kwangu
Tumetoka mbali, Umenitoa mbali
Ninaomba waone Ulivyo mkubwa


Uliko nitoa aaah mimi najua
 Ndio maana nasema
Wewe ni mwamba


Sitarudi kule nilikotoka
Niko na wewe
Kwangu ni mwamba
Uliko ni vusha mimi najua
Ndio maana nasema
Wewe ni mwamba
Kwa macho Waone ulivyo Ili nao waelewe
Wewe ni ngome
Kwa macho wakujue
Nilie na eeeh
Wao waseme kweli ni ngome
oyo


Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome


Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome


Sibishani sibishani na wabishi sugu
Nisije nikasema kakasirika Mungu
Sitetei siteti
Hali yangu ngumu
Siunajua ukitenda watatafutana huku


Weeh Yahweh sina… sina
Wakulinganisha na wewe wee eh
Nashukuru shukuru shukuru Kyala
Hata yale ulinitendea pasipo kuomba eeh
Ngome yangu ya siri wewe Mungu
Kuna vile unipigania nisiaibike eeh


Utawale, Utawale Tu
Utawale eeheee
Utawale, Utawale Tu
Utawale eeheee


Chineke Daddy


Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome
Wacha Waone, Wacha Waone
Wacha Waone, Vile wewe ni ngome


Katika Vitu, Katika Watu
Ukaniinua aah nashukuru Yesu
Katika Vitu, Katika Watu
Nikaheshimiwa aah nashukuru Yesu


Sasa najidaidai (daida)
Nafurahi rahi (daida)
Asante eeh (oohoo)
Nafurahi Leo (daida)
Najidai kwa Yesu (daida)
Ninaendeleaa ah (daida)
Sinashangiliaaa aaah (daida)
Kwa Baba aah (daida)
Najidai iiih (daida)


Ninaenda kwa baba aah (daida)
Nafurahi kwa Yhaweh (daida)
Uuh (daida)


 


Video