Raze - Sisqo Lyrics

Lyrics

Mi humada beats ka sisqo Remember times hukuwa skimmy Naifanya on light ka disco Niko kwa booth sibongi ju ya kissy

Mi ni mrude naifanya on foot Dem anadai tu mashillings Tukikaokota ju hatuko killing Tunawaround na hii ndio time ya sinning Hio ndo time ya mangwai Moshi inawaka ka chimney Wakiniona wanabolt ka ride Tuliwindow shop ka fifty Mi hufanya na siku 360  Alafu tulia na hio 5

Najua hamwezi fanya ka mimi Najua mi hufanya na pride

Watajua leo si ka jana Hii maisha ni maze Wengine waligeuka marana Tunakam hadi baze Usiku hatuogopi mchana Na huwezi kuwa same Allnight ka rave

Nimekam nimehide my face Natry ku avoid ma scandals Tunadim huyo msee ka candle Niite IG huwezi nihandle Ka una beef kaa kando

Walidai kulink up  Lakini hamwezi hii side Ju huwezi fanya ka mimi Hawawezi fanya na pride 

Mi humada beats ka sisqo Remember times hukuwa skimmy Naifanya on light ka disco Niko kwa booth sibongi ju ya kissy

Mi ni mrude naifanya on foot Dem anadai tu mashillings Tukikaokota ju hatuko killing Tunawaround na hii ndio time ya sinning Hio ndo time ya mangwai Moshi inawaka ka chimney Wakiniona wanabolt ka ride Tuliwindow shop ka fifty Mi hufanya na siku 360  Alafu tulia na hio 5

Najua hamwezi fanya ka mimi Najua mi hufanya na pride

Video

RAZE-SISQO

Thumbnail for Sisqo video
Loading...
In Queue
View Lyrics