Paul Clement - Nimesamehewa Lyrics

Album: Nimesamehewa - Single
Released: 26 Jan 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Adui naye anakazana Kunifanya nisisogee Auharibu moyo wangu wa ibada Uwe harufu mbaya kwa bwana

Kajenga kiburi ndani yangu Kajaza uchafu ndani yangu Katega kaburi mbele yangu Ili nianguke bila kuona

Kwanza alinikosesha Kisha akafanya mashtaka Nionekane kuwa na makosa Kumbe nilishasamehewa Kumbe nilishasamehewa

Adui yangu nikwambie Mungu anasemehe na kusahau Unachoshtaki yeye hakijui Unachoshtaki yeye hakumbuki Unachoshtaki yeye hakumbuki

Nimesamehewa, nimelipiwa deni Mimi si mtumwa tena, mimi si mtumwa tena  Nimesamehewa, nimelipiwa deni Mimi si mtumwa tena, mimi si mtumwa tena 

Nimesamehewa Nimelipiwa deni Mimi si mtumwa tena Mimi si mtumwa tena 

Nimesamehewa Kwa damu ya Yesu Nimekombolewa  Kwa damu ya Yesu

Lile deni nalodaiwa halipo tena yeah Lile deni nalodaiwa halipo tena  Lile deni nalodaiwa halipo tena Ile hati ya mashtaka, haipo tena 

Nimesamehewa Kwa damu ya Yesu Nimekombolewa  Kwa damu ya Yesu

Ndio, nimesamehewa Kwa damu ya Yesu Kweli, nimekombolewa Kwa damu ya Yesu

Ndio, mimi si mtumwa tena  Kwa damu ya Yesu Am forgiven by the blood, kweli Am forgiven by the blood, kwa damu ya Yesu

Ndio, nimesamehewa Kwa damu ya Yesu Lile deni nalodaiwa halipo tena Ile hati ya mashtaka haipo tena

Video

PAUL CLEMENT - NIMESAMEHEWA ( OFFICIAL VIDEO)

Thumbnail for Nimesamehewa video
Loading...
In Queue
View Lyrics