Sifa Lyrics

Machozi by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Machozi Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Kama ndege wa angani wanapata msosi
Na sa iweje mi mwanao nipate mikosi?
Na wale tulosoma nao wamekuwa wadosi
Na mimi shida zanijia zikiwa kikosi


Kama ndege wa angani wanapata msosi
Na sa iweje mi mwanao nipate mikosi?
Na wale tulosoma nao wamekuwa wadosi
Maskini shida zanijia zikiwa kikosi


Wacha imani ipande, imani ipande
Wacha imani ipande, ipande ipande
Wacha imani ipande, imani ipande
Wacha imani ipande, ipande ipande


Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Oooh natoa nguvu kwa mashaka(Shaka)
Ju utakuja bila shaka(Shaka)
Unitoe kwa kichaka upanue mipaka


Natoa nguvu kwa mashaka
Ju utakuja bila shaka
Unitoe kwa kichaka upanue mipaka


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Mbona niparare?
Kama maua yanang'aa(Yanang'aa)
Na mimi mwanao inabidi ning'are


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Nafuta machozi, nafuta machozi
Nafuta machozi, nafuta machozi
Imani inapanda nafuta machozi


Oooh oooh 
Oooh nafuta machozi
Oooh oooh 
Oooh nafuta machozi


Video