Sifa Lyrics

Uhuru by Joel Lwaga cover art

Joel Lwaga - Uhuru Lyrics

Artist:
Joel Lwaga
Album:
Thamani - EP
Official Release:
07 Aug 2020

Lyrics

Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu
Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu
Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Uhuru mbali na dhambi
Uhuru mbali na vifungo
Uhuru mbali na umasikini
Uhuru mbali na magonjwa
Uhuru mbali na utumwa
Uhuru mbali na uonevu wa uadui


Ewe maana bwana akikuweka huru wewe
Umekuwa huru kweli kweli
Ewe maana bwana akikuweka huru wewe
Umekuwa huru kweli kweli


Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu
Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Mimi sio mtumwa tena (Ooh, ooh)
Mimi sio mateka tena (Ooh, ooh)
Mimi mi mwana wa pendo lake tena (Ooh, ooh)
Kweli mimi ni mwana wake 
Nimezaliwa kwa mbegu ya neno lake 


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Hio kweli si kinyume cha uongo
Hio kweli ni halisi
Vitu vyote vimefanywa kwa hio kweli
Hio kweli ni -- 


Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu
Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu


Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu
Uhuru wangu nimepewa na Yesu
Nimepewa na Yesu


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Maana yeye ni kweli
Hio kweli imeniweka huru
Maana yeye ni kweli
Na hio kweli imeniweka huru


Video